Tuesday, September 11, 2012

NAOMBENI USHAURI??????

mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.Tatizo langu ni kuhusu unene na uzito wangu nimejitahidi sana kufanya diet ila haujapungua sasa nimeambiwa eti nikienda Gym halaf nikija kuacha eti nitakuja kuongezeka mara mbili yake..nifanyeje jaman na kupendeza napenda????

No comments:

Post a Comment