Friday, October 12, 2012

BONGOLICOUS BY MANGE KIMAMBI

Hello kwa wale wapenda fashion.....

mwandada MANGE KIMAMBI ametoa designs zake

zinazokwenda kwa jina la BONGOLICIOUS na unaweza 

ukatembelea website yake ukapata kuona designs nyingi zaidi

haya sasa wapenda fashion kazi kwenuuuu.....

mimi personally nishaitembelea na nguo zake ni nzuri jaman...

kazi sasa kwenu....

ts time to chop ur money....

No comments:

Post a Comment