hello guys,mambo zenu vp?i hop siku ilikua poa
kabisa....from inbox ameomba jina lake nilihifadhi
''hellow guys i am twenty 24 years old i am a gal
nina tatizo moja nikiwa na mpenzi wangu sina
hisia za mapenzi nataman sana na mimi niwe
na hisia kama rafiki zangu wanavohadithia
jinsi wanafurahia ila mimi nafanyaga ili tu kumridhisha
mpenzi wangu na pia sipati maumivu yoyote naskia
kawaida tu naombeni mnishauri niganyeje ili na mimi
kufurahia kama watu wengine...xoxo""
haya wataalam naomben mumshauri huyu dada
amekua mfatiliaji mkubwa wa blog hiii
xoxo...
Kuna dietary supplement pills zinatengenezwa kutoka kwenye mizizi ya maca (maca roots). huongeza libido yaani hamu ya kufanya tendo pia zinakufanya ujisikie vizuri unapofanya tendo. hazina madhara kwani ni natural product as I said zinatokana na mizizi. apige simu au kutuma sms au whatsapp kwenda 0756 537830 kwamaelekezo zaidi na jinsi ya kuzipata. xoxo
ReplyDelete